Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yes tofauti inaonekana kubwa sana Hongereni leo hadi Sket kaonekana!!! Mi niwapongeze tu kwa kweli.......ila bado mna point zangu tatu hapo mwakani....lol

Kwa mwendo huu sidhani kama mna lenu tena. Katika big mechi nne, BR katoa draw na arsenal, kupigwa na man utd, JK kashinda kwa chelsea na man city na nyie mtafuta trend hiyo hiyo maana mtakua machinjioni anfield
 
Congratulations Liverpool,leo mmecheza mpira
thanks mkuu Leo room itagoma tumerudi tehteh, ila na Nyie hongereni kwa Kuwa juu ila tunakuja! Mbona Alama ya Like Mie sioni mwenye kujua anipe msaada.
 
Tulichemsha Mara ya kwanza sababu hatukujulia angle nzuri ila next round jiandae kuomba pool

Mchepuko nimeuacha saa hizi mambo gani yale bora njia kuu ipo kweli njia kuu

Hahahahah eti mambo gani Yale!!!! Ahhh!!!! Wapi nami nishakujua nachange mapigo ....
 
Sijui kwanini leo nimekua so excited zaidi ya Klopp sijui

Sijui kwanini leo nimemsamehe Skrtel kwa mistakes zote alizozifanya msimu huu kwa lile goli

Sijui kwanini hatujashinda 6 😡😡😡

Sijui kwanini Judas Iscariot (Sterring) aliifuata hii aibu teeehe teehe

Sijui kwanini FSG walichelewa kumleta Klopp

Sijui ingekuaje kama Lucas angeuzwa sijui

Sijui kwanini man u tulicheza nayo mapema eti @Thname everlenk CUTEb????

Asante klopp kitambo sana hapo Etihad
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwendo huu sidhani kama mna lenu tena. Katika bigm mechi nne, BR katoa draw na arsenal, kupigwa na man utd, JK kashinda kwa chelsea na man city na nyie mtafuta trend hiyo hiyo maana mtakua machinjioni anfield

Duhhh!!! Kumbe Mshamaliza big four yenu eeeh so mnasubiri round? Ahhhhh!!! Wapi hiyo mechi tutachomoa tu......hao hao ndo wateja wenu.
 
Sijui kwanini leo nimekua so excited zaidi ya Klopp sijui

Sijui kwanini leo nimemsamehe Skrtel kwa mistakes zote alizozifanya msimu huu kwa lile goli

Sijui kwanini hatujashinda 6 😡😡😡

Sijui kwanini Judas Iscariot (Sterring) aliifuata hii aibu teeehe teehe

Sijui kwanini FSG walichelewa kumleta Klopp

Sijui ingekuaje kama Lucas angeuzwa sijui

Sijui kwanini man u tulicheza nayo mapema eti @Thname everlenk CUTEb????

Asante klopp kitambo sana hapo Etihad

HahaHAha leo hadi umekuwa mwanamalenga? Asante sana kwa utenzi hivi hivi na madhaifu yangu hunifungi aiseee.......maskini Sterring aibuuuuuu!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom