kesho mancity loose kwa liverpool klopp kaja na mbwembwe atawafunga mancty ambao pia bado wana majeruhi kibao
wakati ARSENAL tunashinda ugenini
Ndo matokeo ya mpira...poleni majirani...
Arsenal ni baiskeli Ya miti