Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Matokeo mazuri sana kwetu haya!Anafukuzwa huyu
Asipofukuzwa?
Matokeo mazuri sana kwetu haya!Anafukuzwa huyu
Perfect results for Br out
I am happy Br atakua hana sababu tena ya kubaki
tunakomalia kubaki na sterling halafu tunauza Lucas
BR akili ziko ma@tak0ni
Thanks God match hii si kwenda kuingalia ... Ila am truly shocked nilipoona haya matokeo 5 goals in first half nasikitika kuona time ya Gerard ilivyoisha vibaya deeply sorry
Kwa Mara ya kwanza after many years nimejikuta chozi likinitoka, asipofukuzwa BR tukawa nae next season nahisi itakuwa ndo Mara yangu ya kwanza since nianze kushabikia LFC kutoangalia game hata moja
Very disappointed, tunakua humiliated na Stoke.....!!!!!

Huyu BR ilibidi afukuzwe siku ile tulipofungwa na kuwa outplayed na Villa Wembley!Pole sana. Rodgers asipofukuzwa msimu ujao mnashuka daraja
Pole sana. Rodgers asipofukuzwa msimu ujao mnashuka daraja
Pole ya nini we dogo? sisi ni masugu........