Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

10988511_1444680408905504_1954098719354334913_n.jpg
 
2908710300000578-0-image-m-8_1432479959944.jpg

Sterling was subjected to abuse from sections of the travelling Liverpool fans as he warmed up

FSG malizeni kazi aiseee

Rodgers: "If the owners want me to go I go but I
still feel I have a lot to offer here."
 
"Defending is not hard to coach. It's very easy to set a team up to defend." - Brendan Rodgers (2014)

Do you remember this? Ilikuwa baada ya Mourinho kutupiga 2 nil Anfield na tukashindwa kubeba ubingwa... Lakini he's never been successful on it.. Maybe in day dreams.

Liverpool has an assembly of brilliant defenders in it's tank kuliko most teams in epl..

Few to mention

Sakho
Skrtel
Moreno
Lovren
Toure
Manquillo
Johnson

Ukiweka na injury proned Flanagan na Enrique..

Mpaka tumetoa wengine kwa mkopo ambao walitucost pesa na wengine wa Academy ambao they'd once made it to the first team.

Ilori
Wisdom
Robinson
Coates
Smith

Yet defensively we are worst kuliko Manchester United iliyomtumia McNair na Blacketts for most of his games na akina Valencia..

Then BR is calling himself good in defense na kuifanya kazi ya defense Kuwa rahisi.
 
Dah kaaz kweli kweli
 
Jana team ilienda Dubai, kwa ajili ya ceremony ndogo ya kumuaga SG, but Rodgers hakwenda na team..

Leo kuna baadhi ya players wamepiga pics na shabiki mmoja wa kike (sterling, can, Markovic and Lovren) msichana anaitwa Noor Patterson, ambaye anaclaim kuwa hakupata nafasi ya kumuona SG because alikuwa anakunywa (pombe) tangu walipofika Dubai jana, so leo hajaonekana..

It must be so hard for SG man, feel for that Man, uamuzi wake wa kuzitosa madrid, Ac Milan and even Chelsea atakuwa anaujutia sana..

I can understand why Sterling wants to leave this club..
 
So kama SG kabak tangu jana Dubai (Royal Merdien hotel), that's means hatokuwepo kwenye 10 years of instabul???

Yule shabik anasema leo SG hajaonekana, but tangu jana alikuwa maji sana..

Ninachojua mimi, Kitu chochote kinachohusisha Instabul issue kuhusu LFC, ni lazima SG awepo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom