Wenye hata Million 25 watupatie , 5 tutawapa QPR au 4 sababu Agent wake Ananjaa sana tutampa million 1 ili apate pesa za kwenda Holiday na Mama wa Raheem na wasiwasi na Huyo Agent anavamia kazi za watu kwa Fujo, Jarmaine Pennant wote tunajua wapi alipoishia sasa subiri tuone Dogo zile Kesi zake kama atakuja kushinda tena anapoenda ..... Na aende tu sitaki kumuona LFC, LIVERPOOLFC haina haja tena kumbembeleza aende tu ni Muda wa Liverpoolfc kuwacha kuumiza kichwa Fukuza Brendan Rogers na Ayre , wamlete Perry Kuwa Katibu mkuu na Manager wamaana wafikirie nani wakuja na nani wakuondoka sio Kuumiza kichwa kwa mtoto ambaye akikaa bench bado timu inashinda hapotezi kitu kwenye timu ingekuwa Little Magician Coutinho sawa , Leteni watu ambao wa kazi sio wanaokatwa na kulilia maziwa walete majembe sasa.