barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
dah! watu wa Liver mnalalamiiiiiika utadhani Rogers kaiaribu timu!
3-0 kwa Stoke City!!
Tuzidi kunyunyiza ubani ili Totenham na Soton washinde games zao ili tusiwepo hata Europa League mwakani!Nahisi tukishndwa kupata nafasi ya Europa watamfukuza BR