Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna kipind nlikuwa najiuliza why Arda turan anakuwa linked kila summer na LFC??, kukawa na rumuors kuwa he's LFC fan, BUT today ndo nmeprove kuwa Arda Turan ni shabiki mkubwa na wa kutupwa wa LFC..

Tabu ni kwamba anaumia kama sisi na Rodgers..LOL

#ThanxStevie

Turan bonge la mchezaji huyo lkn BR anakuwa linked na wachezaji style ya Milner daaah
 
Imagine LIVERPOOL FC without SG..!!!

Nimehuzunika mbele ya TV
Binti yangu akaja kunishika mkono akanivuta kitini akaniondoa kunirudisha chumbani

SG anaondoka LVFC kwa hila za kocha ambaye HAJAIFANYIA lolote la maana team yetu!SG anaondoshwa kwa aibu kuu sababu tu BR anamhofia mkongwe huyu kuja kumpokonya kazi yake

SG:The Great
 
Duh SG anaiacha Anfield kama utani vile ila nimependa jinsi ulimwengu wa soka ulivyoguswa na tukio ili nimtakie kila heri kwenye maisha yake na hawa vijana wanatakiwa kujifunza kitu kupita SG wasidhani kua legend ni masihara wajue uvumilivu wakati wa kupitia magumu.
Nilikua nawaombea heri Liverpool washinde kwa sababu ya SG ila ndio ivyo tena
 
11031937_10153453883442573_43949136768242855_n.jpg
 
Leo nipo na SG tu, hiyo part ya kupoteza dhidi ya CPC ntaanza kuMoan kesho, didn't even watch the game, just watched stevie's farewell on youtube..

But nadhan BR has lost the dressing room..players wants him gone. IMO..(WBA, Hull and Qpr ni mfano)

it seems so, BR is not trustworthy, and hata baada ya mechi i didnt see him walking to the pitch or walking SG out of the field

I wish and pray that BR leaves Liverpool hata kesho
 
Owners pia nao ni wapuuzi sana sikumwona John Henry wala anybody from Fenway sports group. Najua LeBron James yuko busy na playoffs.
Angalau hata Gerrard Houllier leo alikuwepo to pay the tribute to Steve G
Time for BR to go
 
Nimehuzunika mbele ya TV
Binti yangu akaja kunishika mkono akanivuta kitini akaniondoa kunirudisha chumbani

SG anaondoka LVFC kwa hila za kocha ambaye HAJAIFANYIA lolote la maana team yetu!SG anaondoshwa kwa aibu kuu sababu tu BR anamhofia mkongwe huyu kuja kumpokonya kazi yake

SG:The Great

SG wanted to leave LFC baada ya msimu wa 2016/2017, but Ayre and Rodgers wamefanikisha aondoke msimu huu, can't blame FSG kuhusu SG's departure..

Makosa makubwa ya FSG kama owners ni kuto-kuact kulingana na wakati, Ayre hatakiwi tena kuwepo LFC na Rodgers alitakiwa apigwe chini tangu December..but kwa kuwa Ayre anailetea LFC deals nono basi jamaa wanaona sawa kuwa nae, wakat anaicost sana team kwenye transfers deals na kwenye mikataba ya wachezaji,

FSG sacked king Kenny bila kumpa hata nafasi, but this nobody Rodgers tunae mpaka leo hii, na imefikia hatua mpaka anafungwa bao 3 na CPC siku muhimu kama ya jana kwa club, kina GH, KD, JE, RB hata Roy asingeruhusu kufungwa jana..players washamchoka jamaa, na tutapoteza wachezaji wengi sana tukiendelea kuwa nae kwenye team..
 
Jamani tusali na kufunga ili game ya mwisho tufungwe tukose hata Europe
 
Hakuna sababu ya maombi kwa liver dhaifu itafungwa tu
 
Kila napomuona BR nakumbuka hapo red aisee, yani mara kumi tungebaki na King Kenny na kumpa muda am sure mbeleni changes zilikua zinakuja, ila kwa uyu dah, he's a novice!! labda kama apate 10yrs ya kukaa LFC
 
it seems so, BR is not trustworthy, and hata baada ya mechi i didnt see him walking to the pitch or walking SG out of the field

I wish and pray that BR leaves Liverpool hata kesho

Mchezaji yoyote yule atakuchukia kama utakuwa unashiriki katika kuua mpira wake..

Katika team yetu sahiv, mchezaji ambaye anaweza kufikia hata punje ya commitment uwanjan kama stevie ni EMRE CAN, but jamaa anachezeshwa kama RB, siyo Can tu bali wachezaji wote wanachezeshawa out of their positions bar Mignolet, Moreno ni LB but huwa anachezeshwa kama RWB, kama siyo Moreno basi Markovic, ibe mpira wake ushaanza kuisha naona, dogo kapungua sana makali coz he's been played kama LWB msimu mzima tangu arudi, Sterling sahiv anacheza ilimradi coz alishalalamika sana kuhusu kuchezeshwa nje ya eneo lake, maana kama siyo up top basi atamchezesha kama LWB, Coutinho anamchezesha kama Modric, deep kabisa, wakat mbele yake hakuna watu kama kina Tony au James, hendo ndo kabisaa anamchezesha kama RCM, that's why katikat pana pwaya sana, coz Joe Allen siyo natural CM, Allen wakat yupo swansea alikuwa anacheza katika free role (na unamkumbuka Joe Allen wa swansea) huku kaja mpira umeisha wake umeisha wote, game zilizopita hizi alikuwa anamchezesha GJ kama LB, wakat we all know GJ na RB, kwa mtindo huo wachezaji watakuchukia tu..

Na atamleta Milner acheze katikati na Azidi kumuua Can kama RB..

Can, Moreno, Markovic, Manquillo, watakuwa wanajuta sana kuja LFC, tena Manquillo maskini he chose us over Arsenal, wenger angemkuza sana huyu mtoto kama anavyofanya kwa berellin sahiv..
 
BAK thanx a lot kwa Picha brother.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila napomuona BR nakumbuka hapo red aisee, yani mara kumi tungebaki na King Kenny na kumpa muda am sure mbeleni changes zilikua zinakuja, ila kwa uyu dah, he's a novice!! labda kama apate 10yrs ya kukaa LFC

Mpaka June katikati, tutakuwa tushajua kama Rodgers atakuwepo au hatutakuwa nae..coz sidhan kama klopp atakuwa na team mpaka wakati huo.
 
BR anaondoka
Sioni how ata survive
SG ataazimwa pia kama tu Man City kwa Lampard
BR kaanza kum frustrate msimu wote huu na kuna habari walirushiana hata maneno game na Madrid alipo muweka nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom