Enna nkikoro!Ndaga fijo no bwotolwe
Team yako mpya Juventus game yao na Inter imeishaje dada?
Nafikiri Wenger asingetajwa au usingetaja jina sababu Wenger ni katika watu nawapa heshima kama Manager ila pia inaweza Kuwa Mfano Mzuri kwa Players na Manager ambaye ni mkali ambao kuna kitu hajashinda ndomana Wenger kuachiaa Arsenal sio rahisi sasa hivi ni Loyal wa Arsenal kama Steven Gerrad Kuwa Player kwa LFC , ni vitu vya kawaida sio ma Manager wakali wote wameshinda Vyote , si Players wakali wote kutokea kushinda vyote hasa ukitegemea kachezea timu anayoipenda kwenye damu yake na kwa muda mrefu sikuhizi wachezaji wengi wanakata tamaaa hawakai hata 3yrs , kumbuka hata Ronaldo Lima hakushinda kwenye club Champion Leagur na kama South American players katika kombe Wanapenda ni CL ila hakubahatika ndio Steven na EPL na Cantona na CL haiwabadilishi Kuwa ma Legend au Tony Adam na CL haibadilishi Kuwa ni Legend wa Arsenal na moja Ya best Players EPL tuwacha Kuwa na wivu mbovu, Respect kwa Wenger anakaa kwa kutaka ashinde vitu kama Hivyo pia tatizo vijana aliokuwa nao kama LFc na EPl tatizo haina Players wengi wajuzi au Manager mjuzi, Vijana wa siku hizi Kalikiti za nywele na ma Tatoo na kujiona washakuwa Legend msimu Mmoja tu usitegemee timu itashinda kombe kubwa na vijana mabitozi ukiwa na Weak Manager kama Brendan Rogers, Man United sio mjinga kumleta LVG pale sababu Ya Players wa siku hizi so Wenger ni Manager Mzuri tatizo vijana wale tabia zile wangekuwa nazo kina Henry na Pires inafikiria wangeshinda EPL? No. players wasikuhizi Tabu kama Manager Soft wanajali pesa na kukaa misimu 4 sahau, LFC tujipange sana bado hatuna group ambalo unasema hawa ni group la wa angalau 7 kwenye 11 ni wakali na kiakili wamekuwa hakuna labda wawili tu kwenye timu. Brendan Rogers Out.Ila amebeba ucl ambalo kuna mameneja kama Wenger, wachezaji na mashabiki wake hawajui uzito wake
Juve kashinda 2-1, kaka naona umekataa kunielewa mimi sijahama timu bana nawakubali Juve.........karibu kesho Old Trafford unishangilie Dada yako nikifanya mambo .
Nafikiri Wenger asingetajwa au usingetaja jina sababu Wenger ni katika watu nawapa heshima kama Manager ila pia inaweza Kuwa Mfano Mzuri kwa Players na Manager ambaye ni mkali ambao kuna kitu hajashinda ndomana Wenger kuachiaa Arsenal sio rahisi sasa hivi ni Loyal wa Arsenal kama Steven Gerrad Kuwa Player kwa LFC , ni vitu vya kawaida sio ma Manager wakali wote wameshinda Vyote , si Players wakali wote kutokea kushinda vyote hasa ukitegemea kachezea timu anayoipenda kwenye damu yake na kwa muda mrefu sikuhizi wachezaji wengi wanakata tamaaa hawakai hata 3yrs , kumbuka hata Ronaldo Lima hakushinda kwenye club Champion Leagur na kama South American players katika kombe Wanapenda ni CL ila hakubahatika ndio Steven na EPL na Cantona na CL haiwabadilishi Kuwa ma Legend au Tony Adam na CL haibadilishi Kuwa ni Legend wa Arsenal na moja Ya best Players EPL tuwacha Kuwa na wivu mbovu, Respect kwa Wenger anakaa kwa kutaka ashinde vitu kama Hivyo pia tatizo vijana aliokuwa nao kama LFc na EPl tatizo haina Players wengi wajuzi au Manager mjuzi, Vijana wa siku hizi Kalikiti za nywele na ma Tatoo na kujiona washakuwa Legend msimu Mmoja tu usitegemee timu itashinda kombe kubwa na vijana mabitozi ukiwa na Weak Manager kama Brendan Rogers, Man United sio mjinga kumleta LVG pale sababu Ya Players wa siku hizi so Wenger ni Manager Mzuri tatizo vijana wale tabia zile wangekuwa nazo kina Henry na Pires inafikiria wangeshinda EPL? No. players wasikuhizi Tabu kama Manager Soft wanajali pesa na kukaa misimu 4 sahau, LFC tujipange sana bado hatuna group ambalo unasema hawa ni group la wa angalau 7 kwenye 11 ni wakali na kiakili wamekuwa hakuna labda wawili tu kwenye timu. Brendan Rogers Out.
You nailed it perfectly
BR has to go now
ALL THE PLAYERS AND THE FOOTBALL FANS AROUND THE WORLD ARE PAYING TRIBUTES TO THE KING STEVEN GERRARD..
YOU JUST CAN'T NEVER HATE STEVIE, NEVER..
AND THE AMAZING PART IS, HE'S NOT EVEN RETIRING..That's the power of one of the greatest football Legend to ever bless the Anfield stadium.
Attention aliyoipata SG8 leo, kutoka kwa bigger/average/shitty players, managers, coaches, chairmen, directors, football clubs owners, medias, na football fans across the world sijawahi KUIONA tangu nianze kushabikia mpira wa miguu..
#ThanxStevie
Yes Mos def, but the worst thing ni kwamba his players didnt show him any respect on the pitch... the performance was awful... They didnt even try to win the game to glorify his farewell