Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Steven-Gerrards-Anfield-Farewell.jpg
 
Hahahaha In Brendan Rogers we trust Pazi
Hehehehehe kama Mie ndio ningekuwa mwenye timu basi msimu unaokuja ningejiamini kumpa timu mtu kama Nzi au wewe au Wacha1 kuliko Brendan Rogers Aibu tupu, Brendan Rogers AKIBAKI tutasikia Ana sign wachezaji Hull,QPR na tena Southampton na atataka Loan Chelsea Players dah inaniumiza kumuona tu Naomba hii Room tusiweke Pic za Brendan Rogers, leo nimesikia Raha kumuona Gerrard Hollioure zaidi nilitamani kwa leo tu asimamie game Ya Steven Gerrad kuliko Brendan Rogers aKa DonDonald.
 
28BE870400000578-3084236-Balotelli_posted_a_hand_written_letter_to_Gerrard_on_Instagram_t-a-12_1431782001554.jpg


Baloteli katika barua yake .... .....

Stevie...
I had the honour to play with you, not for long but still an amazing and unforgettable experience for me.
You are a great man and a cool captain!
It is a pleasure to leave free-kicks and penalties to you 🙂



I wish you all the best for your next venture and your family. You deserve the best.
Good luck my friend,
Mario Balotelli


 
Rodgers awe muungwana na abwage manyanga, akajipange upya kwenye Championship huko, shame!
Poleni wanangu MosDef Janjaweed, Malafyale Asprin na mr.wise

Mkuu Asante Sana...Uyu jamaa nadhani FSG wanamkubali sana kutokana na mipango yao, sidhani kama watamtimua. Nilijisikia Hasira nilipoona ile ndege ikipita na banner kua In Brendan We Trust. Ndio tushakua Underdog aiseeee
 
Sija angalia game
Siwezi vumilia nikiona SG ana aga kwa kulazimishwa na kocha mpu u zi kabida!SG alistahili apewe mwaka mmoja zaidi tena akiwa kocha msaidizi huku anzcheza game muhimu tu

BR m s h e n z i sana
 
Mkuu Asante Sana...Uyu jamaa nadhani FSG wanamkubali sana kutokana na mipango yao, sidhani kama watamtimua. Nilijisikia Hasira nilipoona ile ndege ikipita na banner kua In Brendan We Trust. Ndio tushakua Underdog aiseeee

Hiyo ndege itakuwa yy kailipia!Natamani sana mechi ya mwisho tupigwe ili tukose hata Europe Cup
 
mapicha meeeeengi ila mwisho wa yote sendoff imemwagiwa -----...

Mkuu this is "LIVERPOOL SPECIAL THREAD". Vipi Unataka tupost picha zako nini humu?No matter what, the results won't change anything, Hii ni FAREWELL ya STEVEN GERRARD, sorry mkuu kwa leo kua mvumilivu tu unapopita katika Uzi huu.
 
28C08A8900000578-3084405-image-a-95_1431797816418.jpg




28C0764B00000578-3084405-image-a-85_1431796053269.jpg



28C1A70500000578-3084405-image-a-125_1431802467109.jpg


After over 700 appearances for the club, Gerrard will go down in Liverpool folklore as a 'one of a kind' Liverpool leader

28C0796D00000578-3084405-image-a-83_1431795781276.jpg




28C0E36400000578-3084405-image-a-97_1431799558501.jpg


The 34-year-old made sure this was a special occasion for the whole family
as his daughters shared the moment with him

28C0714600000578-3084405-image-a-90_1431797720499.jpg


Wife Alex Curran (left) was also present, and watched from the stands as her husband received a hero's send off


28BF9AC300000578-3084405-image-a-9_1431790807287.jpg




28C19D4400000578-3084405-image-a-107_1431801621573.jpg




28C0468700000578-3084405-image-a-45_1431794853626.jpg



28C0C8CE00000578-3084405-image-a-103_1431799646829.jpg



28C0CE0300000578-3084405-image-a-102_1431799641340.jpg


28BF0B4D00000578-3084405-image-a-20_1431787880963.jpg



28BFE0AA00000578-3084405-A_supporter-a-15_1431791901183.jpg


Hongereni wakuu kwa deserving send off
 
Inabidi mtu awe na kichwa kama cha mwendawazimu kubaki na matumaini ya Liverpool kuingia kwenye nne bora! Ni rahisi kwa Liverpool kuikosa nafasi ya tano kuliko kupata nafasi ya nne! Mechi ya mwisho Liverpool itacheza na wababe stoke city wakiwa kwao! Nasikitika kwa ajili ya Gerald! Mchezaji mzuri sana lakini hajawahi kuonja taji la premier!

Ila amebeba ucl ambalo kuna mameneja kama Wenger, wachezaji na mashabiki wake hawajui uzito wake
 
Liver kama tukuyu star Gerrard anaagwa kwa kichapo
😄😄😄😂😂😂
 
Thank you Steven Gerrard for all the unforgettable moments as a LFC player

Sorry it had to end at Anfield with a totally clueless manager in charge at LFC
 
Anaondoka huyu wala tusiwe na wasiwasi!Mbinu zake ninza Swansea and a like

Mkuu ebu tujipe moyo kisha tusubiri tuone but so far dah sizani, FSG wako nyuma yake sana!Labda fans tulianzishe kwa FSG hawa
 
Sija angalia game
Siwezi vumilia nikiona SG ana aga kwa kulazimishwa na kocha mpu u zi kabida!SG alistahili apewe mwaka mmoja zaidi tena akiwa kocha msaidizi huku anzcheza game muhimu tu

BR m s h e n z i sana

Pole sana nkamu gwangu.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom