Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Tuko pamoja!
Walk On
Pole sn rafiki. Nashindwa niseme nini kuhusu timu yenu!
Tuko pamoja!
Walk On
Pole sn rafiki. Nashindwa niseme nini kuhusu timu yenu!
Mpaka June katikati, tutakuwa tushajua kama Rodgers atakuwepo au hatutakuwa nae..coz sidhan kama klopp atakuwa na team mpaka wakati huo.
Mkuu bora wewe una moyo na una ilo tumaini, mi dah kila nikicheki naona kabisa FSG na BR wana jambo moja tu, uyu alikua wa kutimuliwa kipindi tumeyumba, let us hope atakua sacked
Hakuna mtu yoyote yule anayejua FSG wanafikiria nini mpaka sasa.
Naskia hadi mzee Samuel L. Jackson alikwenda kutoa respectOwners pia nao ni wapuuzi sana sikumwona John Henry wala anybody from Fenway sports group. Najua LeBron James yuko busy na playoffs.
Angalau hata Gerrard Houllier leo alikuwepo to pay the tribute to Steve G
Time for BR to go
![]()
FSG si watu wa mpira, kitendo cha J.W Henry kutokuwepo jana ni dharau tu. Basi angetuma hata wawakilishi waje
I am glad this boy is leaving... he has done a good job of screwing Brendan Rodgers up his arse!! two people i hate in Liverpool BR and RS are now screwing each other after screwing the club very hard
Rodgers akiendelea kubaki nanyi, vijana wengi sana wataomba kusepa maana hakuna matumaini, no champions league football na kocha mwenyewe a muppet, wabaki kufanya nini?
LaCazette pleaseBen smith saying, RS told BR before ile game ya chelsea the other week kuwa he wants to leave the club..
KOVACIC or AUBAMEYANG pleaseeeeee!!!
We're failing as a Club tbh..