SG wanted to leave LFC baada ya msimu wa 2016/2017, but Ayre and Rodgers wamefanikisha aondoke msimu huu, can't blame FSG kuhusu SG's departure..
Makosa makubwa ya FSG kama owners ni kuto-kuact kulingana na wakati, Ayre hatakiwi tena kuwepo LFC na Rodgers alitakiwa apigwe chini tangu December..but kwa kuwa Ayre anailetea LFC deals nono basi jamaa wanaona sawa kuwa nae, wakat anaicost sana team kwenye transfers deals na kwenye mikataba ya wachezaji,
FSG sacked king Kenny bila kumpa hata nafasi, but this nobody Rodgers tunae mpaka leo hii, na imefikia hatua mpaka anafungwa bao 3 na CPC siku muhimu kama ya jana kwa club, kina GH, KD, JE, RB hata Roy asingeruhusu kufungwa jana..players washamchoka jamaa, na tutapoteza wachezaji wengi sana tukiendelea kuwa nae kwenye team..