min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,437
- 127,810
Nalewa ndani tu kwa majonzi namuwaza mashii wangu shindii😭Apumzike kwa amani.
Unalewea wapi na mashirima anakutafuta?
Nalewa ndani tu kwa majonzi namuwaza mashii wangu shindii😭Apumzike kwa amani.
Unalewea wapi na mashirima anakutafuta?
Mashii yupo kajaa tele anapambana tu na mbege. Walevi nao wamepungua sijui ni ukata au ndio wanajifanya kuzingatia afya🙆♂️Nalewa ndani tu kwa majonzi namuwaza mashii wangu shindii😭
Shindii nipo daslamu , nikitoka nitatoka na hela nyingi mashii wangu hawezi teseka na mimi na pumua😭Mashii yupo kajaa tele anapambana tu na mbege. Walevi nao wamepungua sijui ni ukata au ndio wanajifanya kuzingatia afya🙆♂️
🤣🤣🤣🤣Shindii nipo daslamu , nikitoka nitatoka na hela nyingi mashii wangu hawezi teseka na mimi na pumua😭
Hahaha dhindiii na wewe🤣🤣🤣🤣
Wazaramo washakuteka wewe.
Sasa kwa wazaramo tangu 2007 hujarudi kwenu si basi tena!!Hahaha dhindiii na wewe
Shindii elewa basi mwanangu🤣Sasa kwa wazaramo tangu 2007 hujarudi kwenu si basi tena!!
🤣🤣🤣🤣Shindii elewa basi mwanangu🤣
Shindiii🤣🤣🤣 unataka niwe kama dada yangu yeye anauliza tu , nitume kwa namba gani hataki maneno mengi😅😅🤣🤣🤣🤣
Wazaramo hoyeeee!
Namuomba dada yako pleeease🤣Shindiii🤣🤣🤣 unataka niwe kama dada yangu yeye anauliza tu , nitume kwa namba gani hataki maneno mengi😅😅