Bwashee wala hakuna code 😅😅Nyie wandugu mmeongea kwa code sana ila nishawasoma sasa
Hahhahaha kwanini mkuu?Ukisema mbege, umenikosha sana!!
HahahaaNimekumbuka Keni, Mamsera, Mashati, Useri…mbege
Kila siku.Amekusaliti Mara ngapi?
Waoooooo bebi wangu njoo mama lake♥️😍😍😍😋😋😘😘😘😘😘😘Unataka kumtongoza mkinga? 😹😹😹
Nahitaji msaada embu Fanya mambo niipate hii pisi, japo namba tuuNiko kwa karibu hapa!! Ukihitaji msaada nijulishe tu
Shindii njoo tuleweNiachane na nani tena?
Daaah! Umenikumbusha mbali🤣🤣🤣
Shindii leo nina stress, unataka kustresisha stress zangu?Shindii njoo tulewe
Za nini shindii wanguShindii leo nina stress, unataka kustresisha stress zangu?
Za msiba wa bwege😭Za nini shindii wangu
Dah mwenetu kafa shindii , hatuna namna lazima tuishi tuZa msiba wa bwege😭
Apumzike kwa amani.Dah mwenetu kafa shindii , hatuna namna lazima tuishi tu