Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,410
- 176,326
Wax yuko wapi?Liverpool wanaadhibiwa vikali
Wax yuko wapi?Liverpool wanaadhibiwa vikali
🤣🤣🤣🤣🤣Shindii😅 na wewe umenichoka kama mashirima😅
Ila una kauchochezi fulani. Wifi sijui yuko wapi aje akubebe.Ha ha ha amekufananisha na jamaa yake wa enzi hizo
Mashirima atoke tu rombo akakae kibosho , nikitoka daslamu nimkute yupo kibosho .🤣🤣🤣🤣🤣
Mashirima ndio mtu pekee hawezi kukuchoka.
😳😳😳Mashirima atoke tu rombo akakae kibosho , nikitoka daslamu nimkute yupo kibosho .
Wifi yuko wapi siku hizi? Kaadimika sana jukwaani.Sio kweli best yangu
Atauzia kibosho , utaratibu umebadilika shindii🤔😳😳😳
Mbege nani atauza?
Shindiii ndio unambeba mashirima mazima🙆♂️🙆♂️Atauzia kibosho , utaratibu umebadilika shindii🤔
Shindii utabaki rombo😅Shindiii ndio unambeba mashirima mazima🙆♂️🙆♂️
Mie nitabaki na nani?
Nitakuharibia🤣🤣🤣Shindii utabaki rombo😅
Uje tuongee mamaaKwahiyo hapo ndio tayari baba😆
Nimeshafika, haya niambie!Uje tuongee mamaa