min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,043
- 126,624
Sina visa shindii, ni vile mbege inachangamsha😅Sio uje na visa vyako sasa!
Sina visa shindii, ni vile mbege inachangamsha😅Sio uje na visa vyako sasa!
Acha kuisingizia mbege bwana.Sina visa shindii, ni vile mbege inachangamsha😅
Hahahaha nimeimisi mbege ya mashirima😋Acha kuisingizia mbege bwana.
Ngoja nikamshawishi mashirima amkubalie mzee Tarimo maana anamsarandia sana. Wewe unataka mbege tu.Hahahaha nimeimisi mbege ya mashirima😋
Nilijua tu shindiiNgoja nikamshawishi mashirima amkubalie mzee Tarimo maana anamsarandia sana. Wewe unataka mbege tu.
Haya sema. Unamtaka mashirima au mbege?Nilijua tu shindii
Mashirima kwanza halafu mbege badae😃Haya sema. Unamtaka mashirima au mbege?
Chagua moja shindii🤣🤣Mashirima kwanza halafu mbege badae😃
Namchagua mashirima shindii😁😁Chagua moja shindii🤣🤣
Maana kwenye mbege ndipo unapoanza chokochoko kuwa mashirima anasarandiwa🤣
Watu weweeeeeh! Mnilipe sasa🤣Namchagua mashirima shindii😁😁
Tatizo lako hela mbele shindiiWatu weweeeeeh! Mnilipe sasa🤣
Shindii malipo Asubuhi bwana🤣🤣Tatizo lako hela mbele shindii
Ya bohora moja utapata , nikifanikiwa kumshawishi mashirima 😆😆Shindii malipo Asubuhi bwana🤣🤣
Nimewapambania sana halafu hamchelewi kunikopa huku mkipata raha wenyewe.
Umeanza visingizio shindii🙆♂️Ya bohora moja utapata , nikifanikiwa kumshawishi mashirima 😆😆
Shindii tulia acha usiharibuUmeanza visingizio shindii🙆♂️
Nitaharibu!
Ndio unilipe sasa.Shindii tulia acha usiharibu