Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,534
- 48,846
Bi harusi mtarajiwa huyo.🤣🤣🤣🤣 mkuu sasa mbona hushushi mistari?
Bi harusi mtarajiwa huyo.🤣🤣🤣🤣 mkuu sasa mbona hushushi mistari?
Msiba gani tena!!Poleni na Msiba wa Tanzania
Ila naona kama anakuwa mzito sana ,🤣🤣🤣🤣 mkuu sasa mbona hushushi mistari?
Nileteeni mtoto LamomyUmeshinda mdau
Humu umekuja si umeelewa kichaa cha mada kutongozwa kwa hio ukitongozwa tongozeka sasa masai dadaHuu uzi sijawah kuuona leo ndo siku ya kwanza
Kweli nimezeeka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila naona kama anakuwa mzito sana ,
Nitahamishia kambi kwako.
Nipe sababu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaaah! Nimecheka na kulia sana.
Waziri nani huyo...sijuiMsiba gani tena!!
Hahahaha kabisa, navizia wa kumtongoza liveHapo, mbuzi kafia kwa muuza supu!!
Shindii mashirima ana magendo hatariHausafishiki shindii🤣🤣
Kumsingizia koote mama wa watu kumbe unaficha madhambi yako!!
Sasa huo ni msiba wa watanzania kweli?Waziri nani huyo...sijui
Acha kumchafua. Mashirima msafiiiiiii.Shindii mashirima ana magendo hatari
Shindii kawadanganye wanaosinziaAcha kumchafua. Mashirima msafiiiiiii.
Mashirimaa ni church girl, dhambi yake ni kuuza mbege tu.Shindii kawadanganye wanaosinzia
Shindii sio kweli mashima hata leo nimemwona na mtu😅Mashirimaa ni church girl, dhambi yake ni kuuza mbege tu.