Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Huu uzi nilikuwa sijaona nisingekuwa singo hadi leo sasa ukitaka kutongozwa unatumia mbinu gani?
[emoji39] [emoji7] Nadhani mimi na wewe ndo hatuna wapenzi humu....ndo ukuje mama tuanze safari
 
41201b013ebbcfe15ef958a5a4da2a2f.jpg
Mods hizi picha zingine za kutiana nyege tu, khaaaaaa
 
Heaven Sent unatafuta laana, kui mama mie na MO11 ni majirani, kwani umemsahau anakaa pale karibu na BAK?

Mbona we na BAK sijaona kapo yenu hapo?
Valentina naona kabadili gia angani.

Haha, mie simo huu mpira namrushia BAK..🙂

Nilishakwambia mie niko Mfaranyaki, Songea. Simjui mwanachama yeyote anayekaa jirani yangu. Kwani kui anaishi karibu na Mfaranyaki!?
 
Back
Top Bottom