Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Hivi huu uzi unahusu nini hasa ?
sasa nifanyeje....???Itakuwa ni ule ukauzu wako wa kuandika neno moja tu, khaaah!
Na wewe unavyonikaliaga kooni hadi naachika nani mbaya zaidi yetu?Yani mie nilitakiwa sasa hivi nisiwe naongea kabisa na wewe kwa mambo uliyokwisha nifanyia
Yaani we kauzu dagaa anasubiri!mi ni kauzu ila sio kwako mrembo
mara zote umekua unanihukumu hebu nijaribu uoneYaani we kauzu dagaa anasubiri!
Hivi hiyo avatar hauna mpango wa kuibadili?usimuogope huyo
niamini mimi
nitaibadili kwa ajili yakoHivi hiyo avatar hauna mpango wa kuibadili?
Wacha we!nitaibadili kwa ajili yako
ndio ukweliWacha we!
Haya bwana.ndio ukweli
na ukauzu naacha (japo sina) kuanzia leo hii ni kwa ajili yakoHaya bwana.
Usiache bwana, ndio nakupendea huo.na ukauzu naacha (japo sina) kuanzia leo hii ni kwa ajili yako
aiseee mbona kunilaum kwako hakuishiUsiache bwana, ndio nakupendea huo.