Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mie hata sijakumiss, kilavnikikumbuka ulivyonikalia kooni najikuta sikumiss.
Na wewe unavyonikaliaga kooni hadi naachika nani mbaya zaidi yetu?Yani mie nilitakiwa sasa hivi nisiwe naongea kabisa na wewe kwa mambo uliyokwisha nifanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…