BIG UP kiwatengu!
Absolutely you have been create perfect products ! Umefikiri nje ya box !
Kumbe maubunifu mko nayo vichwani !
Ila nakunyima 100% kwa kuchelewesha wazo hili mapema wakati ulikuanalo!
Nakupa 90% .
wa kwako nani humu?Kwani ni lazima uandike kwa lugha asiyoijuwa vizuri? Ni nani alikudanganya?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
wa kwako nani humu?
mpenzi wako nani hapa live streaming?Wa kwangu "nani humu?" ndiyo nini? Sijakuelewa.
mpenzi wako nani hapa live streaming?
sawa vipi mie nawewe tukawa kitu kimoja yaani uchumba?Sina mpenzi mmoja, hapa wote nyinyi ni wapenzi wangu. I love you all.
Msifanye uzinzi tu, Mwenyeezi Mungu hapendi.
sawa vipi mie nawewe tukawa kitu kimoja yaani uchumba?
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa miaka 38 iliyopita.
38 iliyopita ???Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa miaka 38 iliyopita.
Gozi yuko doro.
Ngabu mbele kwa mbele.
38 iliyopita ???
mmh haya bhanaNaam, 38 iliyopita.
Hivi na wewe huwa unatongozwa mkuu?? 🙂Wa kwangu "nani humu?" ndiyo nini? Sijakuelewa.
Na wewe huwa unatongozwa mkuu?? 🙂
Wewe mrembo ulikua wapi? Nmepata shida kukutafuta sana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]utafungwaje wakati mimi sijapata mtu....???
Nipoa my ex, habari ya weye?Wewe mrembo ulikua wapi? Nmepata shida kukutafuta sana