i miss you buddie...
Nlisha piga chini yule alaf ni gamba hadi linatoa unga itikadi hatuendani Mkuu nlikua busy sana kwenye kampeni Kamanda bado tutaendelea na mapambano mpaka kieleweke Kamanda wangu
We mie sijaishia wewe bado napumua haswaaaaa! wax alipinduliwa hasubuhi na mapema na wenye vyao, usiniambie huyo dogo bado anauota uraisi!!! Kweli wonders never seize.
Hivi upo kweliiiii...nitafute tusherehekee ushindi aisee.