Hata wangekuwa mia, ila wht mataz ni kuwa Manga ML ndio wa mwisho, yaani nimefika kabisaaa, huyu ndio nilikuwa nahangaika kumtafuta na tumetoka mbali mnooo, usidhani ni wa leo huyu!
Na naanzaje kuamua!! Hicho kipindi kifupi tu ulichokuwa macca nilihisi nipo jehanam ndogo kwa kukumiss, sasa nisipokuwa nawe kabisa nitaishi kweli?? Yo my life darling.
Wameshindwa acha povu liwatoke
Mweeeeh!!
Usishutuke nataka waje waone tunavyopendana
watu wanajua kusaliti!!
duh
Oooooh unafanya moyo udunde mara 10 kwa sekunde mume wangu, yaani kwako mie nyang'anyang'aaaa Kiba kasingiziwa.
Cc cute b
Njoo mama heheheee wax usijali babaaHebu ulizia kama st,anna zitakuwepo nivae ninja nije niserebuke mie.
Kwani hujijui kuwa wewe ni chizi siku nyingi?
Lol leo nina furaha sana nyie watu....
Sisi tumeitwa atoto ukajua tumeitwa tukushangae kumbe ni kuona mnavyopendana.
Basi shost ulivyojihami eti mweee
Tengua tafadhali hatakaa nimesalitiwa sijali
watu wanajua kusaliti!!
duh
Mseeebuko wa talaka yako?Si nawajua nyie mashankupe yangu kwahiyo hata muitwe kwa jema walaaaaa siwaamini, haya tuachane na hilo, mserabuko wapi na lini? Cant wait mie.
Vyote vipo Mkuu tena na mzik mnene hadi majogoo ita wengine waje washuhudie asije akanigeuka baadae cpend lawama
Mseeebuko wa talaka yako?
Ni leo ndio nampitia everlenk yupo anamalizia kuvaaa.
Kama ni maji ya blue light sema nini unatakaa...
Nyie pendaneni tuu