Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
usiloge, haitafanya kazi..
kama vipi mwambie Ngabu ambagwe huyo bibie..
Cc: Nyani Ngabu sijui anachepukia wapi saahii
Last edited by a moderator:
usiloge, haitafanya kazi..
kama vipi mwambie Ngabu ambagwe huyo bibie..
Cc: Nyani Ngabu sijui anachepukia wapi saahii
usiloge, haitafanya kazi..
kama vipi mwambie Ngabu ambagwe huyo bibie..
Cc: Nyani Ngabu sijui anachepukia wapi saahii
Nionyeshe kwanza talaka toka kwa wale waume zako wengine [idadi nimeisahau].
Khee! Mbona mie siwajui? Hebu njoo chumbani kwanza unipe mambo
Hahahaaaa duuu kiwatengu hebu njoo umwone huyu eti anadai hawajui wale waume zake leo...
Maajabu ya mwaka haya haki ya nani.
Ayaaaa weeee majanga😕.
mke wangu anahusikaje hapa?
Mungu anakupenda mnoooo! Wewe ndio hujipendi
i wish i could dislike your comment but i don't see dislike button here!
bibie..mzima wewe?