yaani kumbe mtu akisafiri siku mbili watu humu ndani wanajitia ushababi sio???
sasa nasema nipo humu ndani na mtu akileta kujua kwa
nifah namtoa duniani na kuanzia usiku huu natembea na Magnum 357 kudaadeki
shukrani
kiwatengu kwa kujali maslahi yangu
nifah me and you together for life