Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Hahahaaa sio wawili tuu mkuu...kila jukwaa hahahaaa
Siyo kila jukwaa bali kila thread
Hahahaaa sio wawili tuu mkuu...kila jukwaa hahahaaa
Siyo kila jukwaa bali kila thread
Hahhaaaa
Mm niliambiwa una wawili
Alikudanganya
Hii ni chitchat ambayo tayari unaye Viol
Ahaaaa hahahaaa wewe ni mfuatiliajiiiii ume keep record zote
Mambo pouwa, hhaahaa kiwatengu hebu verify hii kitu watu tuchepuke mapemaaa..si unajua tena njia kuu foleni..njia kuu michosho..
We mwanaume unataka na mimi nianze kuchepuka, hujasikia michepuko sio dili
Mimi mgeni huku, wewe kama huwa unakuja huku utakuwa unachepuka, BTW sijakuona kwenye lile jukwaa mda mrefu..
Haaaa napitaga huku
lile jukwaa ni la wabish hata vitu ambavyo vipo waz
..Tushazoea kubishana..huku kuna couple tayari na watongozaji, tuliunge basi na wewe kama vipi
presha wapi wewe. kiwatengu njoo ufanye maprocess..mtotoz kakubali
ila bado upo kwenye probation
pouwa..na wewe nisisikie unachepuka huku
nitachepukaje wakati ndo kwanza tunaanza, mpaka uniudhi