Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,202
Mdada wa kasikazi anicheki inbox
Duuuh we una haraka!!! Mwaga misifa kwanza, sasa tunaku pm tu hivihivi jamani!!
Mdada wa kasikazi anicheki inbox
Ni nini kinaendelea hapa.......?.......sijui ujue........
nikikuudhi tunazungumza tunayamaliza sio unaenda kuchepuka..umesikia mtoto mzuri..
Haahhaaa haya bhana
mume kuna sehemu nataka niende, nitarudi baadae
poa mke..ngoja nirudi kwenye jukwaa letu..
hapo sawa, nilifikiri unataka kubaki huku wakati mi sipo
usiwe na wasiwasi..hamna kinachoharibika..
Amanda Lynn nimekuham mpka natetemeka
yero wewe si unampenda Mungu eeh? Basi mpende na jirani yako, alafu msema kweli mpenzi wa Mungu kiukweli nimemuhamu Amanda Lynn ni bora kusema ukweli kuliko kukaa na kitu moyonitaratibu Lupamba's grandson ..ndio kwanza nimemaliza kumweka mtotoz sawa halafu unataka kuharibu..
Moyo wa waren umekudondokea.
hayaaaa!! safi