Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Sasa nikimuomba wakufanana na mimi huoni kuwa tutafanya ile kitu ambayo rais Obama anaipigia upatu?.
Tatizo lako maandiko yanakupiga chenga!! Haya endelea kumlilia cecilia
Sasa nikimuomba wakufanana na mimi huoni kuwa tutafanya ile kitu ambayo rais Obama anaipigia upatu?.
Hivi we mtoto unalalaga saa ngapi?
Tatizo lako maandiko yanakupiga chenga!! Haya endelea kumlilia cecilia
Wew unataka?
Yah nataka ila usiwe na mwengine
duh aiseee
We mwanaume bwana, mie ukuwadi hata siuwezi, ngoja kiwatengu ndio kuwadi mzoefu atakuunganisha
Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli
Unamwambia kuwa mimi ni mtoto wa magufuli
Hahahaa! Mie huwa sidanganyi, so kamdanganye mwenyewe.
Ngoja nikaoge na magadi usipoona nikampata
Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze.
Kila la kheri, utuletee tu mrejesho.
Hebu toa sifa zako sasa, unamiliki mali zipi na ngapi nchi hii, sio unamiliki dushe tu alafu unasubiri kutongozwa.
Mimi ni mangi maduka ndio yapo tu ya kutosha. Lakini mbona mimi nilikuwa nataka hata ambaye hana kitu isipokuwa awe na utamu wake tu?
Ndivyo inavyotakiwa, mwanaume unataka mwenye kitu ili iwe nini?? Okey kilalakheri, watajitokeza, endelea kusubiri.
Kwani kama sina kitu huwezi kunioa?
Subiri tu utaolewa waoaji wapo wengi tu.
Lakini tuacheni utani mimi nataka mdada anitongoze.