Sasa mkuu mimi sijui hata kutag,hebu naomba kwanza nipe maujanja ya kutag halafu ndo nianze mambo,kwani kuna mtoto mmoja humu ambae huwa namzimia sana,juzijuzi niligongana nae kwenye thread fulani hivi yaani ilikuwa ni shidaaaa!!
Dear sasa inabidi ni mrudishe mlinzi huu mchezo cjaupenda ngoja yaan unaninyima nisichepuke kumbe ww unatafuta mchepuko ngoja niite mlinzi Mkuu kiwatengu njoooo huku sasa nakurudisha kazini rasm na mshahara nakupandishia