Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

natafuta mchumba awe msichana miaka 18-25, education f4.... ni poa akiwa mfanyakaz kama mimi
 
sema jinsia yako tukusaidie kupalainisha..

Kiume haswaaa Mkuuu

tafuta mdada yeyote huku aliyeko single, then umlete hapa, nikulainishie.
nb: kuhusu kumfahamu kama yuko single au la tunaweza kishirikishana pia.
 
Apo mkuu fanya tuu kutu verfly

zoezi litafanyika muda muda sio mrefu..
natafuta vifaa ili niweze kuwapa airtime yakutosha..
mwambie mumeo RRONDO aje adhibitishe ili kusiwepo na pingamizi lolote!!
 
Last edited by a moderator:
Heaven Sent naona kama.....
usiku ushaingia??
Hebu rudi ndani..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom