haya yote ni kuchagua spika ambaye ni mwanachama wa Chama tawala,ni bora spika angekuwa mtu asiyefungamana na upande wowote,wewe unadhani kungekuwa na mkutano mkuu wa CUF wangehairisha?Bunge la Muungano wa Tanzania linabadilishiwa muda, ili kupisha mkutano wa CCM, now talk about getting our priorities twisted..
Piga, ua, Mtazamo wangu wa matokeo ya NEC 20 bara ni hawa:
Profesa Idris Mtulia, Andrew Chenge, Edward Lowassa, Abdulrahman Kinana, Juma Kapuya, John Komba, Yusuf Makamba, Benard Membe, Kingunge Ngombale- Mwiru,John Chiligati, Hassan Ngwilizi, Emmanuel Mwambulukutu, Aggrey Mwanri,Stephen Wassira, Christopher Mwita Gachuma, Enock Chambier, Frederick Sumaye, William Lukuvi, Jaka Mwambi, na James Msekela.
kilitimieKama ningekuwa mwanaCCM, na mjumbe wa Mkutano Mkuu, wa Kwanza kumwonea huruma angekuwa dada Shy-Rose, nadhani anakipenda chama sana, kwa muda mfupi niliomjua nimesikia akigombea sehemu nyingi sana na akawa anapigwa chini...
kilitimie
ni sababu zipi zinakufanya useme kwamba shy anaipenda sana sisiemu?
Hayo Matokeo Yameshachezewa ...mimi Mikutano Yoote Ya Ccm Tangu Enzi Za Mwalimu Nimeijua Sijawahi Kuona Kutoa Matokeo Ya Kura Za Wajumbe 1600 Inahitaji Masaa Zaidi Ya Mawili ..always ...aje Mtu Hapa Aseme Lini Kura Zimelala Hadi Kesho Yake....kuna Mkutano Ulifanyika Chimwaga Hadi Saa Kumi Za Usiku ....ilikuwa Record Lakini Hawakutawanyika Kabla Ya Matokeo...
Kwa Maoni Yangu Matokeo Tunayosubiri Leo Watapita Tu Wale Ambao System Ya Chama Inawataka....nani Anataka Kina Mwandosya Na Sumaye Wapitishe Watu Wao Wa Kuja Kuwapigia Kura 2010....
Wee Kaa Kimya Tu Ukisika Atakayelia Baada Ya Hapo Ujue Jiwe La Kina Rostam Na Nchimbi[wajumbe Wa Kamati Ya Uchaguzi ] Limempata...nani Aliwaambia Zege Linalalaga...watu 1600 Kura Zao Kuhitaji Kulala Ni Kutaniana!!!!
kuhesabu kura za watu 1600 zisingechukuwa zaidi ya masaa matatu. na kwa vile ilikuwa ndo kwanza saa saba usiku, tulikwa tuachiwe komba atutumbuize huku tukisubiri matokeo.
hii ya matokeo siku ya pili, inatilisha shaka na vile vile hainogi
..mbona hiyo ni rahisi kung'amua!
..ccm ina wenyewe!wengine wasindikizaji!
Acheni zenu, mambo yapo sawa! Nani kati yetu anaweza kukesha masaa 24?
Hivi Admin kwa nini hakuna "Kura za Maruhani" kama za kule Zanzibar?,,, walahi mtoa hoja hapa juu anastahili moja!!! naona unatuwekea tu "thanks vote" tunahitaji na negative watu wakileta za kuleta...