Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
nitaenda kuwa padre sasa....
Ukiwa Padre sasa si ndio itakuwa mwisho wa habari yako...wale watu wanaondolewa mshipa wa tamaa!!!
nitaenda kuwa padre sasa....
Kwanza kashajiunga na Chuo cha Watawa Nyegezi...
Sitaki sitaki nasema sitakiiiiiiii ujue!
Nipe location niwatafute
hahaha...wamehamia Dar, wapo Leo Tupo Hapa.
wamekuja na basi la "Igembe Nsabo"
Kahamia jirani na nilipo. Utakuwa mkwe wangu.
Hebu usinizidishie mawazo.....nitambembeleza mpaka Yesu arudi
Daddy mie simtakiiii..... Lakini hasikiii!!!
Shost nilipiga kelele nikaonekana mwehu... ngoja niufyate wangu mdomo!!! Wasukuma wanajielewa wenyewe!!!
Mpwa kulikoni tena...huyu ndugu yako atiii
We mwache tu....ngoja nimtafute yule fundi wangu afanye ya kufanya!!!
wasukuma tuna aibu sana ujue!!!!
wasukuma tuna aibu sana ujue!!!!
damu haitakiwi kwenda mbali sana mpwa.
Masikini yani ulivo mwisho hadi nakuonea huruma. Sijui foleni yako itafika lini.... Mwishowe Yesu atakuja bado foleni yako haijafika....
![]()
Dats y i love u daddy!!!
We mwache tu....ngoja nimtafute yule fundi wangu afanye ya kufanya!!!
mabwakuuu....igweeeee!!!!
Jaribu uone kama hujanipa mwanao bila mahari?