Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
I will be there......kucheck muvi ya wabongo...this is my golden chanche.
leo upo pande za huko......siku hizi wanafanya kweli
I will be there......kucheck muvi ya wabongo...this is my golden chanche.
wazo zuri ngoja nilifanyie homework! Muulize Mjeda ameniwekea contessa na barafu?Njoo naye kabisa maana idadi imebana af kuna kaubaridiiii...
Ukichelewa sana utakuta watu zishawafika mukichwa sijuiiiii....
Ahahahaaaaaaaaaaaaaa......ntajichanganya kama annony_.......maake ,mmmmmh
Here I am!
uende naye kabisa maana huko ni dabo dabo
Njoo kipande hii mkuu
Niwekee kiti pembeni yako afu uniagizie......
![]()
kama haipo niagizie hii.....
![]()
nakuja......!!!!!!!!
Pita tu wasalime hao wengine saba.