Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,359
- 108,499
Ha ha haaa
Kumbe rahisi kukutana.
Hahaha...kwani wakaa daireksheni hii pia??
Ha ha haaa
Kumbe rahisi kukutana.
Namuona.Amekumiss mwenzio
Kama kawaida yangu usafiri niko hapa nje na bodaboda yangu..ukijisikia kuondoka ww nipm tu naweka silence iti tuwahi....
weweee nikikukamataaa
Hahaha...kwani wakaa daireksheni hii pia??
Aliwafanya wafunge goli.
Kwa kujifanya hajaona makosa.Kwa kutoa pasi ya goli?
Ni karibu kabisa na mitaa hiyo.
JF Kahama wing hakuna. Why?
Kwa kujifanya hajaona makosa.
Hebu usinizidishie mawazo.....nitambembeleza mpaka Yesu arudi
Hata mie nimekumiss jamani.....
Kwanza kashajiunga na Chuo cha Watawa Nyegezi...
Hahaha...JF Kahama wamehama...usiniulize wamehamia wapi!!!
Ndo kusema Rock city mnenidilit au???
mi nazurura tu, nitarudi home swt home.....