Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,907
- 57,707
Umesema sahihi MkuuEnzi za Mwalimu na enzi hizi za Samia ni enzi mbili tafauti.
Hao mabeberu unaowaita benki ya Dunia , IMF na mabeberu wengine kuna maslahi wanayatafuta katika mataifa yanayoendelea sasa ukishajua wanataka nini na ukawapatia wanachokitaka hazo habari za demokrasia wanakuachua wewe mwenyewe umalizane na watu wako.
Tunavyozungumza hivi Lisu sio mpinzani pekee anayeshikiliwa na vyombo vya usalama barani Afrika.
Nchini Rwanda na Uganda kuna wapinzani kadhaa wanashikiliwa na vyombo vya usalama na nchini Sudani kusini makamu wa rais ambaye anatoka chama Cha upinzani yupo ndani HAO BENKI YA DUNIA WAMEFANYA NINI KUMSAIDIA?!
Unajua passport ya Tanzania inakufanya uingie Nchi ngapi na kuishi bila kuulizwa Visa?
Unaweza kufananisha nguvu ya Ushawishi tuliyonayo Tanzania Kimataifa na Nchi za Rwanda na Uganda kweli??