B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,648
- 6,411
TraaashMadai ya mh rais kuchafuliwa na swala hili hayana msingi wowote.
Lisu ni mmoja wa maelfu ya watuhumiwa wa uhalifu walioko huko magerezani ambao uwepo wao magerezani hauna athari ya aina yoyote kwa heshima ya mheshimiwa rais.
Lisu sio mtuhumiwa pekee ambaye yupo gerezani.
Huko gerezani yupo na wenzake wengi tu kwahiyo mwacheni apambane na hali yake hadi siku ya kutoka atakuwa ana adabu kidogo kama ilivyokuwa kwa freeman Mbowe alivyokaa gerezani miezi kadhaa akatoka akiwa na adabu kiasi.