Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

ccm waache roho mbaya wamuacvhie angalau kidogo mzee Seif mwaka huu. Amesota sana aisee
 
Sasa hii inaitwa siasa siasani.

JPM alijiona mjanja kumbeza Maalim Seif kutokana na umri wake mkubwa.

Sasa wamekuja wajuzi wa minyukano ya kisiasa wanambamiza.

Kwa kweli sidhani kama wajumbe walitegemea kuwa TL pamoja na hoja aliyokuwa akijenga humohumo angetupa "kombora" kwa JPM.

Ukiona mwanasiasa anaweza kuhutubia mambo ya msingi, na humohumo akawavunja mbavu wasikilizaji wake, ujue huyo ni mwanasiasa aliyewiva.

Kujenga hoja na kua stand up comedian. Basically Masudi Kipanya ila awe na mavazi ya rangi nyekunde, nyeupe na bluu.
 
..hata muandishi wa hotuba hawezi kuandaa hili.

..kauli kama hizi hutokea bila kupanga.

..umahiri na kipaji cha mzunguzaji humuelekeza hadhira yake inataka nini wakati huo.
Mkuu wengine wawezayo ni kutembea na muuza mahindi toka Dar na Hindi lake hadi Dumila ili amuuzie mzee watu waseme anapenda kujichanganya.

Anashindwa kuelewa akishapita watu wanaulizana yule kijana anachomea wapi hayo mahindi?

Ujinga mkuu
 
Haaha mzee wewe kiboko. Lazima watu waulizane.
 
Mkuu wengine wawezayo ni kutembea na muuza mahindi toka Dar na Hindi lake hadi Dumila ili amuuzie mzee watu waseme anapenda kujichanganya.
Anashindwa kuelewa akishapita watu wanaulizana yule kijana anachomea wapi hayo mahindi?
Ujinga mkuu
Aibu kubwa sana !
 
Umeua mkuu.Thantee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom