Leticia Nyerere: WaTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa taifa lao!

Leticia nadhani hastahili kuwa Mbunge wa Chadema .Hope next time she will be out .Nimeshangaa mapovu yote anataka duo Uraia .Too bad nadhani hii haina mashiko kwa Tanzania .Leo hakuna Duo hakuna msaada hata kuja kunyumbani kuwekeza ni ngumu sana .Huyu hapana .
 
Hivi kuna kitu huwa anakijua? Anaishi kwenye Tanzania yake tu

Kuwa na wabunge wa sampuli ya huyu mama ,Chadema ililamba garasha!!! Huyu mama alipata ubunge shauri ya hilo jina la MUSSA na si kwa weledi wake kwani ni mtupu sana sana!!!!
 
Jamani, huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?

Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;

Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:.
FaizaFoxy, Leticia kama ulivyomnukuu, kasema "hajawahi kuona" (hii haina maana kuwa jambo hilo halipo). Tuletee ushahidi kuonesha kuwa Leticia amewahi kuona George Washington akidhihakiwa. Ama umemnukuu vibaya?
 
Nadhani alikuwa anamaanisha dhihaka ya kuvunja ama kukiuka katiba ya Marekani aliyoiasisi...Hapa kwetu alichokiasisi mwalimu kinahujumiwa hata yale ya msingi kabisa kama ulinzi wa rasilimali zetu...
 
Jamani, huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?

Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;

Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:







Leticia, kuna tons and tons za dhihaka kwa George Washington. Unalidanganya bunge na Watanzania kwa ujumla kwani tunakuona live, kwa kuwa eti umekaa USA.

Wewe inaonesha ulikuwa unakaa USA lakini huijui USA au unaona Watanzania tu wajinga kiasi cha kutudangaya kijinga namna hiyo?

Inaonesha u mfinyu sana wa mawazo.

Wakwanza wewe unalidhihaki jina la Nyerere kwani umeshaachika na bado unalitumia kama una hati miliki nalo.
Faiza,
Naona nwewe ndiye mwenye tatizo. Kwa Leticia kujiita Nyerere inakusumbua nini? Hata kama ameachika amezaa watoto watatu na Madaraka na as long as hajaolewa tena she will always be a Nyerere. Na wewe na genge lako si ndio mko mstari wa mbele kumdhihaki Mwalimu na kusema hastahili kuitwa baba wa taifa? Mimi niko hapa Marekani sijawahi kusikia George Washingon akidhihakiwa kama mnavyomdhihaki Nyerere wewe na wafia dini wenzako. Hata hizo katuni uliotubandikia hapa si dhihaka hata kidogo kwa baba wa taifa wa Marekani kulinganisha na ninyi mnavyomdhihaki Mwalimu wetu. Shut the hell up!
 
Tatizo langu ni kwanini muwe waongo? na kwanini mtetee uongo?

Mnawatuma wabunge wenu kwenda kudangaya pale bungeni? Hamna haya?

Yeye amesema hajawai kuona sasa km ww umewai kuona yeye hajawai sasa hapo amedanganya nini
 
Ha ha ha ha ha, jamani

Mtu anaweza kusema kwa kukaa kwake Argentina hajawahi kuona Che Guevara akidhihakiwa, kumbe akawa anaongelea Argentina ya Manzese.

Tumuulize anaongelea Marekani gani kwanza? Isije kuwa anaongelea Marekani ya Kariakoo shimoni.
 
Si ujinga tu. Kuolewa ni utumwa hata ubadili jina la ukoo wako?

Halafu si jina tu, amesema uongo nisome vizuri.

Isitoshe, amesma "mimi Nyerere ni Mkwe wangu" huo pia ni uongo usahihi angesema "mimi Nyerere (alikuwa) Mkwe wangu".
Leticia atakuwa Mkwe wa Mwalimu milele. Aliolewa na Mtoto wa Mwalimu. Hata kama kaachwa, kaachika, kaacha, ule ukwe unabaki palepale. Tuko makabila mengi nchi Faizafoxy!
 
Labda kweli hajawahi maana si kila mtu ana raghba na hayo mambo ya kisiasa.

She's a low information MP anyway....
 
Soma vizuri post yangu. Analidangaya bunge na Watanzania, Kama lengo lake Nyerere asidhihakiwe angesema tu hivyo na si kudanganya eti "mimi nimekaa Merekani na Washington hadhihakiwi huko".

Uongo wa nini nyinyi magwanda?

Kuna dhihaka na utani wa kawaida...km huu.Watu mara nyingine huweka utani wa kutukuza..km mwanamume anamwambia mwanamke...Siku Mungu anakuumba alichukua muda zaidi kwako...je hii ni kufuru kwa Mungu au ni praise ya njia mkato.
 
Si ujinga tu. Kuolewa ni utumwa hata ubadili jina la ukoo wako?

Halafu si jina tu, amesema uongo nisome vizuri.

Isitoshe, amesma "mimi Nyerere ni Mkwe wangu" huo pia ni uongo usahihi angesema "mimi Nyerere (alikuwa) Mkwe wangu".
Wametengana tu na Madaraka,kisheria bado ni mme wake.Kwa hiyo yeye ni wa kwa Nyerere
 
Tatizo langu ni kwanini muwe waongo? na kwanini mtetee uongo?

Mnawatuma wabunge wenu kwenda kudangaya pale bungeni? Hamna haya?

Beating about a bush. Sasa unakimbia ulichoulizwa unawaweka watu kapu moja. What are you trying to address by the way?
 
By the way uzalendo sio kitu kizuri mara zote.

Hususan kama unatumika na watawala kujenga ukondoo na "a cult of personality" ili kuendeleza kuwakandamiza wananchi.

Watu wamejikatia mapande yote, wamewaacha wananchi hata kaniki hawana, halafu hawana hata aibu kutaka "uzalendo" kutoka kwa wananchi?
 
Kwa nini Winnie aliachika,ila hadi leo anaitwa Winnie Mandela?

Ndio maana mimi niligoma kutumia jina la mume. Mume si baba yangu hivyo mimi naendelea na ubini wangu. Mtu akitaka kuni- address in relation to my husband name basi aniite Mrs. so and so. Lakini tatizo ni sisi wadada tunang'ang'ania kubadilisha majina tunapo olewa halafu tukiachika inakuwa ngoma kuyabadilisha.

Tujifunze.

Tiba
 
Back
Top Bottom