Leticia Nyerere: WaTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa taifa lao!

Mbunge Leticia Nyerere amesema waTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa Taifa lao.

Amesema uzalendo maana yake ni kuipenda bendera ya nchi yako na kuheshimu waasisi au viongozi wa taifa lako, anasema anashangaa siku hizi utaona kwenye daladala mtoto mdogo au kijana amekaa kwenye kiti huku mtu mzima au mzee amesimama na hakuna anayekemea hilo.

Hayo ameyasema leo bungeni wakati akichangia taarifa ya kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

Yeye mwenyewe si mzalendo
 
Leticia atakuwa Mkwe wa Mwalimu milele. Aliolewa na Mtoto wa Mwalimu. Hata kama kaachwa, kaachika, kaacha, ule ukwe unabaki palepale. Tuko makabila mengi nchi Faizafoxy!

Ukisikia utumwa ndio huo. Jina si lako kuling'ang'ania.

Mkataa asili ni mtumwa.
 
Yeye amesema hajawai kuona sasa km ww umewai kuona yeye hajawai sasa hapo amedanganya nini

Ni muongo, angefanya utafiti. Siyo anapanda kwenye bunge kudanganya watu bila kufanya utafiti. Wengine hatudanganyiki, siyo misukule sisi.

chadema mmezowea sana uongo.
 
Kuna kitu sijui kama watu wanakiona faizafox ni mtetezi sana wa rais Kikwete humu jukwaani na ameshawahi kusema humu kuwa mara kadhaa amesafiri nae nje ya nchi akiwa miongoni mwa "ujumbe wa raisi".

Lakini faizafox huyuhuyu ni mkandiaji namba moja wa mwl Nyerere humu jukwaani.

Je faizafox anaweza kuwa anawakilisha msimamo wa rais JK kwa mwl JK?
mkuu tatizo ni moja tu, amini usiamini, hao ni miongoni mwa wafuasi wa jk kwa issue ya udini na si vinginevyo, hao ni wenzetu na tunawajua vilivyo,kama hutaki kuamini subiri mwaka 2015 mgombea wa ccm awe toka dini tofauti na jk utaona!
 
Last edited by a moderator:
Mtengane halafu bado uwe mme wake? huu ni upunguani wa hali ya juu> limit ya kutengana ni muda gani?

Na ukiolewa ndiyo umeshanunuliwa hata jina la ukoo wako linakuwa si lako tena? utumwa mambo leo huo.

Na hiyo ndio sababu ya yeye kusema uongo bungeni?
mama yaani bado hujaolewa? Teh teh...
 
Mi napingana nae kwa swala la mtoto ampishe mtu mzima,,hapa ni mjini labda kijijini,,,binadamu wote ni sawa,,hata watoto wadogo wanachoka pia,,,daladala zenyewe zakugombania,,,,,mtoto agombanie dalala, apate siti,,then mtu mzima aje ampishe alafu yeye asimame kutoka mbagala mpaka ubungo,,,whyyyyyyyy,,whyyyyyyyy
kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe!!
 
Huyu mama ni mbunge wa chama changu, ila ni kati ya wabunge mzigo ndani ya chama. Uwa hana hoja zenye mashiko. Ni msharuko sana. Si ndio huyu alisema wanaume wasioweza kutongoza mpaka wanabaka waanzishiwe vyuo vya kutongoza. Sasa haya ni maneno ya kutoka kwa mbunge wa CHADEMA kweli?
 
Mbunge Leticia Nyerere amesema waTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa Taifa lao.

Amesema uzalendo maana yake ni kuipenda bendera ya nchi yako na kuheshimu waasisi au viongozi wa taifa lako, anasema anashangaa siku hizi utaona kwenye daladala mtoto mdogo au kijana amekaa kwenye kiti huku mtu mzima au mzee amesimama na hakuna anayekemea hilo.

Hayo ameyasema leo bungeni wakati akichangia taarifa ya kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

Mimi ni mzalendo, naipenda nchi yangu, naipenda nchi yangu lakini nchi yangu imedhulumiwa, nimezaliwa na kukuta nipo nchi nyingine ambayo inainyonya nchi yangu halisi

Mimi ni Mtanganyika, na juhudi yangu kuu ni kuona Tanganyika inarudi inplace, nitawaheshimu viongozi wangu ila sintaheshimu makosa waliyoyatenda

Najua, Tanganyika mipaka yake ilipatikana berlin kwenye kikao kilichoigawa dunia nzima, na ndio chimbuko la mipaka ya mataifa yote ulimwenguni.

Ila mwaka 1964, kiongozi wangu alitengeneza mipaka na nchi mpya ya Tanzania, ambayo imeimeza Tanganyika na kufanya rasilimali za Tanganyika ziliwe kama shamba la bibi, yapo mengi ila siwezi kuipenda Tanzania ijapokuwa natumia passport ya tanzania
 
nyie wavaa suruali fupi mbona mna ng'ang'ana na yeye kutumia hilo jins yeah ana haki yakutumia sababu ya hii sentensi "for better for worse till death do us apart" kwetu hakuna talaka kama nyie mnatumia majina ya waume zenu mkiachika mkatafute affidavit sa sijui mkiolewa mara kumi mtakuwa na affidavit ngapi.
 
Huu mtandao mzima unamilikiwa na kuratibiwa na Merekani kama hawataki adhihakiwe wangeondoa, hakuna mtu wa nje yeyote anaemdhihaki Washington ni wenyewe wote hao. Wacha kudanganya na wewe, uongo unawasaidia nini?

Hivi hizi shule mnaenda / mlienda kufundishwa ujinga na uongo?
Bibie,
Angalia signature ya wachora cartoon halafu niambie ni Wamarekani. Hata kama ni Wamarekani hii ni parody, kma alivyosema Kiranga lakini within the parody there is affection and respect for Washington. This is lacking among the rantings of you and your kin on Nyerere.
 
Bibie,
Angalia signature ya wachora cartoon halafu niambie ni Wamarekani. Hata kama ni Wamarekani hii ni parody, kma alivyosema Kiranga lakini within the parody there is affection and respect for Washington. This is lacking among the rantings of you and your kin on Nyerere.

Jasusi,

An unhealthy dose of respect for statesmen is not condusive to freedom of expression.

And while I mentioned parody as part of the above culture of freedom of expression in America, I also mentioned lampooning.

You can't have too much respect for statesmen and at the same time stand for freedom of expression, the two will collide.

Leticia was wrong on the facts. Americans do parody and lampoon their founding fathers.Their freedoms allow even the desecration/ burning of the US flag, with constitutional protection.

The United States Supreme Court in Texas v. Johnson, 491 U.S. 397 (1989), and reaffirmed in U.S. v. Eichman, 496 U.S. 310 (1990), has ruled that due to the First Amendment to the United States Constitution, it is unconstitutional for a government (whether federal, state, or municipality) to prohibit the desecration of a flag, due to its status as "symbolic speech."

Hawa watu si tu wanawa lampoon statesmen wao, wana sheria zinazolinda ku lampoon statesmen na kuchoma bendera.

Kama alitaka kutoa mfano wa nchi ambayo haina caricaturing and lampooning of statesmen, mfano wa Marekani haufai.

Marekani ina utamaduni wa kuheshimu uhuru wa kujieleza kuliko inavyoheshimu statesmen.
 
hujui tofauti ya dhihaka na pongezi kupitia utani?Dhihaka ina lengo la kudhalilisha.Shida yako ni kubwa kuliko ushangingi ktk CCM.

Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kuhusu ushangingi muulize Mbowe, anarudisha la zamani mlango wa mbele anachukuwa jipya mlango wa nyuma. Halafu misukule yote mnaamini karudisha shangingi.

Ikiwa viongozi wenu wote waongo, nyinyi mnakuwaje?
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kuhusu ushangingi muulize Mbowe, anarudisha la zamani mlango wa mbele anachukuwa jipya mlango wa nyuma. Halafu misukule yote mnaamini karudisha shangingi.

Ikiwa viongozi wenu wote waongo, nyinyi mnakuwaje?

Napenda unavyohama ktk thread bila kuaga..is useme tuu km huna jingine na ulichopewa kimekutosha kabisa.Sasa km huwezi kuwa mwaminifu ktk hili utakuwa wapi mwaminifu hata makubwa km Ndoa...etc.....

CCM hamtokaa mpate dawa ya ushenzi, upuuzi, na kukosa maadili km elimu ya level zote imedunda..kuna mapfo..aibu tupu..maghebe, kapuya, muhongo ....oops...Muhongo anasema mengo ana vitalu vikubwa kuliko Dar 3 , wakati mwenyewe aka kipande kidogo ukilinganisha na waliomtanguli sijui wana dara ngapi, ukijumlisha jumla ya dar za vitalu vya wazawa achilia mbali vya wageni, sijui hilo eneo ktk ramani ya nhci yetu litakaa vipi...Hkauna maCCM yaliyoon ahuo uongo kwa vile yote ni slanderers...wapo tayari kutumi agharama yoyote kumchafua mtu.
 
Jamani, huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?

Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;

Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:







Leticia, kuna tons and tons za dhihaka kwa George Washington. Unalidanganya bunge na Watanzania kwa ujumla kwani tunakuona live, kwa kuwa eti umekaa USA.

Wewe inaonesha ulikuwa unakaa USA lakini huijui USA au unaona Watanzania tu wajinga kiasi cha kutudangaya kijinga namna hiyo?

Inaonesha u mfinyu sana wa mawazo.

Wakwanza wewe unalidhihaki jina la Nyerere kwani umeshaachika na bado unalitumia kama una hati miliki nalo.

We chizi kweli sasa kama baba wa taifa ka marekani anadhihakiwa ndo iwe pia kwa tanzania??
Sikia dada, nenda kwa kapuya ukachukue ada
 
Huu ni ukweli ulio wazi kabisa...mtu yeyote anaekishabikia chama nyang'anyi CCM kinachogawa utajiri wetu kwa wageni, kinachowafelisha watoto wetu, chama kinachoshadadia biashara ya Sembe, Chama kinachoharakisha ujangili na mauaji ya Raia, KAMWE si Mzalendo wa Taifa hili...
 
Back
Top Bottom