Leticia Nyerere: WaTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa taifa lao!

FaizaFoxy Wewe lengo lako hasa ni nini? Kwamba ihalalishwe kumdhihaki baba wa taifa?

Yes...Faizafoxy kwa itikadi yake kali ya kidini na kwa saabu Nyerere ni Mkristo ni sawa tu akidhihakiwa. Kudhihaki ni kutukana na kutukana ni dhambi.
 
Leticia alipata ubunge kutokana na "kujuana" kwake na Mbowe...

Hivi kuna mbunge ye yote mwanamke "viti maalum" aliyeupata ubunge bila kujuana au kuwa 'KITANDA MAALUM" na kiongozi ye yote ndani ya chama chake?
\mwacheni leticia ale hata kama ni kitanda maalum cha mbowe....hao waliojazana huko ccm na wengine tangu waingie hawajawahi kuuliza hata swali la nyongeza mbona hamwasemi?
 
Leticia alipata ubunge kutokana na "kujuana" kwake na Mbowe...

Yaani huyu mama ni bongolala kweli kweli, Hata sijui ni kwanini asimame pale na kulidanganya bunge na Watanzania.

"Kuna watu wana viwanda vya uongo" - Kikwete

Huyu Leticia ni mmoja wa wenye hivyo viwanda.
 
Yes...Faizafoxy kwa itikadi yake kali ya kidini na kwa saabu Nyerere ni Mkristo ni sawa tu akidhihakiwa. Kudhihaki ni kutukana na kutukana ni dhambi.

Nyerere mwenyewe ni nani asiyejuwa kuwa alikuwa mtu wa dhihaka? yeye amekufa na hati miliki ya kudhihaki watu na wengine wasimdhihaki?

Anadhihakiwa papa itakuwa Nyerere?





Huyo mwanamke ni muongo tena bila haya.
 
Jaamni huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?

Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;

Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:







Leticia, kuna tons and tons za dhihaka kwa George Washington. Unalidanganya bunge na Watanzania kwa ujumla kwani tunakuona live, kwa kuwa eti umekaa USA.

Wewe inaonesha ulikuwa unakaa USA lakini huijui USA au unaona Watanzania tu wajinga kias cha kutudangaya?

Inaonesha u mfinyu sana wa mawazo.

Wakwanza wewe unalidhihaki jina la Nyerere kwani umeshaachika na bado unalitumia kama una hati miliki nalo.

haya maccm ndo maana nayaita mapunguziro hivi unamaanisha nini kwa hoja yako hiyo kwamba watu waendelee kumkashifu baba wa taifa eti tu kwasababu wamarekani wanafanya hivyo kwa babayao siyo! Lkn nyie maccm hiv ni kwanini akiri zenu mmehamishia ma------ni hii kweri ni akiri ndogo we gamba ajuzamkuu utatahiri lini akiri yako mbona umri umeenda akiri bado sifuri.!

Nyambafu afu mkitukanwa oh bavicha wamenitusi wkt mnajitukana wenyewe ------ we
 
da magamba mnakazi sana,unajua tafsri yako inaweza haribu dhima nzima ya nini unataka kutuaminisha,dhima ni kuwa tusidhalau viongozi wetu wakuu wa taifa
 
kumpisha mtu mzima kwenye kiti sio uzalendo hayo ni maadili, na ni sisi wenyewe tumeyavuja kwa kusema mwanafunzi ana haki ya kukaa kwenye kiti kwenye basi, lakini hapo nyuma ilikuwa wanajua mtu mzima anapishwa kwenye kiti lakini walipoambiwa na hawa watu wa sumatra basi tena wana haki ya kukaa ndiyo basi.
kuhusu uzalendo wa nchi, tatizo ni uogo umezidi na uongo ni dhambi. na nchi ikiongozwa na dhambi watu wake wanakuwa sio binadamu wanakuwa kama wanyama maana anayewaongoza ni shetani baba wa uongo lakini kwenye ukweli shetani atakimbia. ndiyo maana hatuendi mbele katika uchumi tumemkabidhi shetani kila kitu kwa uongo.
 
Kwa nini Winnie aliachika,ila hadi leo anaitwa Winnie Mandela?

Si ujinga tu. Kuolewa ni utumwa hata ubadili jina la ukoo wako?

Halafu si jina tu, amesema uongo nisome vizuri.

Isitoshe, amesma "mimi Nyerere ni Mkwe wangu" huo pia ni uongo usahihi angesema "mimi Nyerere (alikuwa) Mkwe wangu".
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom