Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,091
Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。
Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!
Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!
Paskali。
Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
- Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
CHAI MAHARAGE NA POLEPOLE 😃😃
NYAKATI ZILE HATA YEYE ALIKUWA UPANDE WA UOVU,MACHO YAKE HAYAKUONA YA KUWA KUNA WATU KWENYE VIROBA!(WAMETUPWA),SHORTLY SI MSAFI,ATUJUZE NANI ALIKUWA AKIFANYA YALE?/ KWA NINI ALIYAKALIYA KIMYA,
#UKITULIZA AKILI UTAGUNDUA WOTE MANTA NYAHIIII