jogoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Barabara ya Kerai, Mbezi Jogoo ni korofi miaka na mikaka. TARURA kwanini hamuiboreshi?

    Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya Ndumbwi ambapo sasa imepanda hadhi hadi kutoa huduma ya kujifungua kwa wajawazito. Pia kuna shule...
  2. iamdastani

    Jogoo hapandi majike, nifanyeje?

    Nimeanza ufugaji wakuku wa kienyeji, nimeanza na kuku jike 3, jogoo 1 ila saizi ni mwezi wa pili sioni Jogoo hata akikimbiza kuku wa kike nifanyaje?
  3. Stuxnet

    Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

    Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
  4. G

    Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

    Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo. Nawasilisha.
  5. Brox

    Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

    Habar wakuu. Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
  6. Burhani Khaled

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Habari za kazi waungwana. Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo. Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai? Shukrani za awali.
  7. Joannah

    Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

    Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...
  8. Mnara_The_Orange

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  9. Lole Gwakisa

    Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
  10. I am Groot

    Ukweli ni upi? Wanasema; eti, jogoo akikomaa anataga kayai kamoja😂

    Kuna hili swala la yai na jogoo. Anyway ni swala la kijinga sana kujadili kitu kama hiki humu. Ila naamini kuna watu hata humu wanasema JOGOO AKIKUA NA KUKOMAA ANATAGA KAYAI ' KADOGO'. Nilikuwa mahali nikasikia jamaa akaleta mada hii mezani. Kwa ufupi huyu jamaa nimeamua tu kumpa ushindi maana...
  11. John Haramba

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu afariki baada ya ‘jogoo’ kuwika siku tatu mfululizo

    Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya. Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa...
  12. Komeo Lachuma

    Covid 19 (Wabunge Kharamu) ni wakati sasa wa Kumkana Ndugai mara 3. Kabla Jogoo hajawika. Achaneni naye kwa sasa siyo Deal tena

    Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake. Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Hello guys, good morning! Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo. Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
  14. TODAYS

    Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

    Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi ila abilia hatulipi na sijui nani anayehudumia hivyo vyoo!. Nikiwa ndani ya chumba natoa oil chafu...
  15. jamesandrew

    Unajua kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo

    Unaju kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo Dunia ina mambo mengi sana, zembea kuyajua maisha yakumudu uamuzi ni wako. Hata Mungu alivyotupa akili alituachia uamuzi wa kuzitumia. Ukiamua kuzitumia akili zako kulala sawa. Yeye atakulinda usingizi ili uvune umasikini wa...
  16. Father of All

    Hustler nation under Jogoo Bill Arap Ruto

    Naileta kama nilivyoichota sehemu kuhusiana na mchezo mchafu wa siasa za Kenya uliojaa unafiki na urongo. Truly, Ruto's goose is cooked and surely, he won't bake his cake and eat it. It came to light that Kenyan vee pee, Bill arap Ruto and his empire is guarded by 257 as per the minister for...
  17. S

    Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  18. FundiNgoma

    Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

    Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo. Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama [emoji3][emoji3] daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife...
  19. Red Giant

    Hivi jogoo wangu akimpanda tetea wa jirani, nakuwa na haki kwenye mayai?

    Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
  20. Q

    Vijogoo wa nyama vinauzwa

    Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
Back
Top Bottom