Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,723
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

My Take
Leo nahisi ndio siku Comred Polepole atatekeleza ule ushauri wangu,GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi! wa kumkataa shetani na mambo yake yote,atayakataa, atashuka kutoka katika hilo tawi la mti alilokalia,atasimama pembeni kwa miguu yake yote miwili ,akiwa mtu huru,sio mguu ndani mguu nje!,anajiweka pembeni, anakaa kando, akiwa mtu huru,kama ni kukata mti, anakata na mti unakwenda chini jumla, mazima!na sio ile ya kutaka kukata tawi la mti alilokalia!,leo anakuwa free! ndipo atwae shoka,with all his mighty powers,apige pigo moja kuu,pigo takatifu,apige shoka moja mbuyu chini!na baada ya hapo,atasema imekwisha!,atanyamaa kimya na kuiachia karma imalizie kazi!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss?si=uqFefhMJWpSkVgRR
msikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere!
- GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Hii sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。
Angalia eee usijekutekwa
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

Kuwa macho sana , ukionekana unaungana/unasupport na HP watakuwa na negative impression on you and you will be in trouble. Take care!
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

surely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?

si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali 🐒
 
Back
Top Bottom