Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

gubyala ng'wana ngosha bhilolela bhan'hu kaganda kaganda.
ukule uhangame

Huyu jamaa anapenda sana hii makitu wacha aburudike ........

Last edited by a moderator:
Huyu jamaa huwa Namkubali sana..

Mkuu Kiranga happy birthday ...
 
Last edited by a moderator:
Asante kwako na wote.

Kiranga kazaliwa in the decade of decadence, in the year of yeasting and feasting, during the month of the Roman god of the doorway.

As you can see, he was destined to show the way.

hapa ndipo ninipokupendea majibu yako hayatabirikagi siku zote
HAPPY GREAT BIRTHDAY Kiranga
 
Last edited by a moderator:
gubyala ng'wana ngosha bhilolela bhan'hu kaganda kaganda.
ukule uhangame

Aleeeeyo, heeeeeeeeeeee.

Wetaga mabina getegete?

Wabeja pye baghosha ne e baanike, banamhala masala, bakiikolo nyalali, basumba batale.

Pye bose bafumo no bachilochilo bane.

Onene nalehaya okoitayarisha kojaga kodema ha mamilemo gane mwigolo.

Aleyo mamno gatale galebina mabina nzoka getegete.

isesa-dancers-26.3.jpg
 
Kila lenye kheri mkuu,mwenyewe kesho natimiza miongo kadhaa chini ya jua abt 1.47hr left
 
Happy birthday Kiranga,

Bado nasubiri wenzio akina Asprin na Preta wanambie kwa nini watu wengi walizaliwa January?

What's special with January - 9 months??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Naomba namba kwenye kinyang'anyiro rafiki. Yaani kama na wewe una besdei, basi tena. Unajua wewe ni m'bishi i thought unaweza bisha kuwa haukuzaliwa!

Hahaha happy besdei buddy. Kinywaji changu hakipo lakini.. .. . .
Nipo.

Mwanamme kugombaniwa ati.

Shurti wasiraruane sura tu.

Hashuo zikiisha, mwinyi atabembeleza wakeze.
 
Happy birthday Kiranga,

Bado nasubiri wenzio akina Asprin na Preta wanambie kwa nini watu wengi walizaliwa January?

What's special with January - 9 months??

Babu DC!!

January ni mwezi kiongozi unaofungulia mlango mwaka mzima, kwa hiyo mlango ulipofunguliwa, watu wengi wakalianzisha hapohapo.
 
Aleeeeyo, heeeeeeeeeeee.

Wetaga mabina getegete?

Wabeja pye baghosha ne e baanike, banamhala masala, bakiikolo nyalali, basumba batale.

Pye bose bafumo no bachilochilo bane.

Onene nalehaya okoitayarisha kojaga kodema ha mamilemo gane mwigolo.

Aleyo mamno gatale galebina mabina nzoka getegete.

isesa-dancers-26.3.jpg

Hagaya.....gashi nanho ukimanile ekisukuma? Nuhaya ole lejogoli.Bhuziku mwaka lulu nkoi
 
Naomba namba kwenye kinyang'anyiro rafiki. Yaani kama na wewe una besdei, basi tena. Unajua wewe ni m'bishi i thought unaweza bisha kuwa haukuzaliwa!

Hahaha happy besdei buddy. Kinywaji changu hakipo lakini.. .. . .

Wewe ulikuwepo kabla ya namba. Kinywaji chako kinyajin gani hicho hapa tuna mpaka togwa lililopimwa kwa litmus test ku determine a healthy level of pH.

Unakunywa nini? Hapa tuna kuanzia Champagne mpaka moonshine.
 
Mkuu Kiranga happy birthday sana. Nakutakia kila la heri na siku moja umtambue Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Amen
 
Back
Top Bottom