mbona kiranga ni MTU Wangu jamani
Leo ndiyo birthday ya Kiranga wakuu.
Tujumuike japo virtually.
Asanteni.
Kwanini tujumuike?
mbona harudi kusema ahsante? H. birthday, natamani nijue umekula chumvi kiasi gani. lol
Leo ndiyo birthday ya Kiranga wakuu.
Tujumuike japo virtually.
Asanteni.
Ushajumuika tayari, ungejiuliza hivyo kabla ya kujumuika.
Si lazima, ni wito wa hiyari, hivyo hauhusiki na kwa nini, kwa sababu "kwa nini" aijua mjumuika.
Kama wewe umejumuika ili kuuliza kwa nini.
Zaidi ya hilo, kujumuika ndiyo maudhui mazima ya JF.
Kama unauliza "kwa nini tujumuike" ukiwa JF, umepotea njia.
Mungu amekuumba na kipaji cha kipekee