Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Hongera sana...
niko curious kidogo

why this Birthday ume share na sisi
anything special with his birthday?

halafu being atheist kuna kitu chochote kuhusiana na birthdays?

mnasheherekea au mnaichukuliaje labda?
 
Happy Birthday Kiranga

-Happy-Birthday-Kat-no-loser-crets-nevada-city-34376774-350-334.gif
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ni wazazi tu utakaowashukuru kwa siku hii au?

kwa nini unasheherekea siku ya kuzaliwa?
 
Hongera sana...
niko curious kidogo

why this Birthday ume share na sisi
anything special with his birthday?

halafu being atheist kuna kitu chochote kuhusiana na birthdays?

mnasheherekea au mnaichukuliaje labda?

Mpe tu hongera zake ila ukianza kuanzisha mada atheist jamaa akija tutakesha hapa...

Heri ya mwaka mpya mkuu Kiranga uwa nafurahishwa sana mada zako, nahisi ndio umenifanya niwe napita pita jukwaa la intelligence...
 
Last edited by a moderator:
najua ma-atheist hamuamini uwepo wa MUNGU,ila amini nakwambia umri huo uliofikisha leo ni kwa rehema za yeye tu aliye na mamlaka kuu kushinda zote-MUNGU.HBD brother Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Mpe tu hongera zake ila ukianza kuanzisha mada atheist jamaa akija tutakesha hapa...

Heri ya mwaka mpya mkuu Kiranga uwa nafurahishwa sana mada zako, nahisi ndio umenifanya niwe napita pita jukwaa la intelligence...

Trust me akipata mjadala wa why tunasheherekea birthdays
ndo ata enjoy zaidi kuliko kusheherekea kwa kumwambia tu happy birthday
 
Back
Top Bottom