Leo ndiyo birthday ya Kiranga wakuu.
Tujumuike japo virtually.
Asanteni.
Wewe ulikuwepo kabla ya namba. Kinywaji chako kinyajin gani hicho hapa tuna mpaka togwa lililopimwa kwa litmus test ku determine a healthy level of pH.
Unakunywa nini? Hapa tuna kuanzia Champagne mpaka moonshine.
Mambo ni ngazi kwa ngazi.
Huyu alifikiri sijampokea Yesu, namuambia kwamba ngazi ya kumpokea Yesu niliipita 1981.
Leo nimevaa "bullet proof" ya uchokozi mpaka kwenye macho. Nikiangalia maneno ya uchokozi miwani ina filter fulani, yenyewe yanapinda hata hayanifikii.