Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Happy birthday Kiranga komo

Imebidi niishie hapo hapo nashindwa kukwambia mungu akupe umri mrefu maana mungu mwenyewe huamini uwepo wake, nashindwa kusema akupe afya tele n.k
Chukua tahadhari, kula vizuri, epuka ngono zembe na hatua zote za kitaalam(kiafya) upate kuwa na afya njema.

Happy birthday mzee. "Kirango komo"
 
I find this offensive, ignorant and not funny at all.

Get your spelling right too.
I find you funny and ignorant... KWELI Miaka zaid ya 40 ulioishi duniani Unaamini nature...kuwa binadamu alianza na nyani[emoji3][emoji3][emoji3]

Hakika Mr Kiranga muabudu Jua
You are living a pathetic life

Unachekesha [emoji2][emoji2][emoji2]
 
I find you funny and ignorant... KWELI Miaka zaid ya 40 ulioishi duniani Unaamini nature...kuwa binadamu alianza na nyani[emoji3][emoji3][emoji3]

Hakika Mr Kiranga muabudu Jua
You are living a pathetic life

Unachekesha [emoji2][emoji2][emoji2]
I am putting you on my ignore list, so I don't see any more of your vitriolic vomit.

You are not even worth cursing.
 
Happy birthday brother. Nazidi kujifunza kutoka kwako
 
Sisemi uongo!

Life coded na kiranga Hawa jamaa ndio wamenifanya nipende jamiii forums na kamwe siondoki hapa
 
Kila mtu ana kipaji cha kipekee, kazi ni kukigundua.

I don't know about mungu though.

Leo ni celebration tu.

Wazee wa Belvedere ziko pale. Wa juisi natural zipo, wa Scotches kuna single malts na blends, highland na lowland huko tutajumuika pamoja kiambasada kama enzi za Palm Beach.

Hata wale wa Colorado Free State kuna mtaalam kaandaliwa yupo chumba sound proof huhitaji hata udi.

Togwa kuna mtaalamu kakodiwa toka Maneromango maalum, analipima kwa litmus test
Nini kingine?
....
 
Heri ya mfanano wa siku yako ya kuzaliwa mkuu, ishi zaidi tujifunze zaidi kwako
 
Asante sana mkuu.

Jina unalotumia limenikumbusha John Stuart Mill.
aaaah na Jeremy Bentham..

Kiranga mchango wako katika Jamii forum ni mkubwa sana. Kupitia maandiko yako umenifanya reasoning kwangu kuongezeka na kujiamini pia.

Siwezi pita andiko maelezo yako pasipo kusoma, nikiyasoma lazima niongeze maarifa baadhi ya mambo.
 
I am putting you on my ignore list, so I don't see any more of your vitriolic vomit.

You are not even worth cursing.
Why would you curse ?.. Oooh maybe that's how you guys who worship the Sun great each other...[emoji2][emoji2][emoji2]...

Kiranga my dear kifo hakipo mbali..Kuna maisha baada ya kufa ..Amini kwamba
 
Back
Top Bottom