SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Ushajumuika tayari, ungejiuliza hivyo kabla ya kujumuika.
Si lazima, ni wito wa hiyari, hivyo hauhusiki na kwa nini, kwa sababu "kwa nini" aijua mjumuika.
Kama wewe umejumuika ili kuuliza kwa nini.
Zaidi ya hilo, kujumuika ndiyo maudhui mazima ya JF.
Kama unauliza "kwa nini tujumuike" ukiwa JF, umepotea njia.
Kila mtu ana kipaji cha kipekee, kazi ni kukigundua.
I don't know about mungu though.
Leo ni celebration tu.
Wazee wa Belvedere ziko pale. Wa juisi natural zipo, wa Scotches kuna single malts na blends, highland na lowland huko tutajumuika pamoja kiambasada kama enzi za Palm Beach.
Hata wale wa Colorado Free State kuna mtaalam kaandaliwa yupo chumba sound proof huhitaji hata udi.
Togwa kuna mtaalamu kakodiwa toka Maneromango maalum, analipima kwa litmus test.
Nini kingine?
...the portrait of a crazy person..Ushajumuika tayari, ungejiuliza hivyo kabla ya kujumuika.
Si lazima, ni wito wa hiyari, hivyo hauhusiki na kwa nini, kwa sababu "kwa nini" aijua mjumuika.
Kama wewe umejumuika ili kuuliza kwa nini.
Zaidi ya hilo, kujumuika ndiyo maudhui mazima ya JF.
Kama unauliza "kwa nini tujumuike" ukiwa JF, umepotea njia.
Ulinzi wa Mungu ukawe nanyi katika sherehe hiyo ya kuadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako
Leo sichokozeki, irie tu.
Hata mungu anakaribishwa tu.
Mradi atoe JF ID yake tu.