Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
gubyala ng'wana ngosha bhilolela bhan'hu kaganda kaganda.
ukule uhangame
mkomonago nina watolwa alebi
nalisunda sunda
gubyala ng'wana ngosha bhilolela bhan'hu kaganda kaganda.
ukule uhangame
Nyingine hii hapa....
January ni mwezi kiongozi unaofungulia mlango mwaka mzima, kwa hiyo mlango ulipofunguliwa, watu wengi wakalianzisha hapohapo.
Hagaya.....gashi nanho ukimanile ekisukuma? Nuhaya ole lejogoli.Bhuziku mwaka lulu nkoi
Naam, sawa sawa kabisa. Na hapo kama sijakosea hao akina mama watakuwa mashangazi na mama wadogo/ wakubwa.
Nilihudhuria harusi pale Kizumbi miezi michache iliyopita na watu waliimba sana hii nyimbo na hiyo ingine aliyoiweka jamaa.
Mkuu Kiranga happy birthday sana. Nakutakia kila la heri na siku moja umtambue Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Amen
Babu nasikia siku hizi umefulia au ndio kile watu wanaita WIVU WA KIKE?
Yap Nkwingwa......Sema huu Kubyala ukipigwa kunako harusi ukumbi mzima lazima uchangamke....Hasa ile cheza ya kutingisha mabega huku mwa kwa juu unaenda mbele na kurudi nyuma....Naam, sawa sawa kabisa. Na hapo kama sijakosea hao akina mama watakuwa mashangazi na mama wadogo/ wakubwa.
Nilihudhuria harusi pale Kizumbi miezi michache iliyopita na watu waliimba sana hii nyimbo na hiyo ingine aliyoiweka jamaa.
Happy Birthday Kiranga.Leo ndiyo birthday ya Kiranga wakuu.
Tujumuike japo virtually.
Asanteni.
Yap Nkwingwa......Sema huu Kubyala ukipigwa kunako harusi ukumbi mzima lazima uchangamke....Hasa ile cheza ya kutingisha mabega huku mwa kwa juu unaenda mbele na kurudi nyuma....
Huyu jamaa anapenda sana hii makitu wacha aburudike ........
Asante.
Kuhusu kumtambua Yesu Kristo kuwa bwana na Mwokozi wa maisha yangu nilishamtambua April 7 1981.Azania Front. Nyumba ya mviringo inayoelea bila msingi kama unaifahamu.
Hahaha usiwaskize wale majinga pale Escape, afu tatizo hujui kama nlikuona. Usicheze na babu wewe.