Mnmmh hata kuiba hawajui. Anampa namba yako ili iweje.
Hajazimia anaigizia kama yule askofu.
karibu chamani utayaona mengi sana kuoa aah apana!
Tafuta demu kabisa uwe unaosha rungu na kujiriwadha ili umsahau fasta
don't be strict bro ,,,,kakosa ok but try to listen what people say,,,,,,kuwa na msimamo hutamrudia hata dunia nzima iseme in fact i failed to understand what kind of advice you need from us,,,,as i know there is try&error ,,,,forgive your lovely wife+fiancee maisha tu haya ,,,,,
Awafai nduguu yaani n balaaaaa tupu
Mkuu nimeshaamuaa kuwaa pekee yanguu sija chukuwaa uamuzii wa harakaa balii nimechukuaa uamuzii km mwanaumee nisijee kufaa na magonjwaaa
Sasa huo sii msamaha sawa sawa na Mungu akuambie nimekusamehe lkn peponi /mbinguni huingii.... Msamaha ina maanisha unamsamehe na kusahau kila kitu na kuanza upya km vile hakuna kilichotokea
Hooooouuuuh hooooouuuhhh...! Kweeli kabisa
Mwache, muache aende huyo janga huyo.
Mkeo anaenda kutafuta kazi yenye maslahi zaidi ili akitunze? Wewe huwezi mtunza mkeo mpaka atangetange na njia kutafuta ajira? Ona sasa ametapeliwa na kazi hakuna.
Jipange kama wewe una ajira anzisha mradi mkeo akae hapo.
Na mwisho, huyo dada ulikuwa unaishi naye kama nani wako? Nani alihalalisha kitendo cha yeye cha kuja kuishi kwako?